Tena kwa kubebwa.Simba wameshukuru mpira umeisha
Huna kiungo ndgMashabiki Wenzangu Wa Simba Msijali Huu Ubingwa Bado Ni Wetu...Wale Yanga Pumzi Imeshakata [emoji4]
Punguza hasira mkuuSimba imekuwa ya kisenge!!!
Kocha toka MadradaSimba imekuwa ya kisenge!!!
Huo ndio ukweli wamelemewa sana mwishoniSimba wameshukuru mpira umeisha
Hata hivyo makolo kwahiyo pointi wanaongoza ligi[emoji23][emoji23]Mashabiki Wenzangu Wa Simba Msijali Huu Ubingwa Bado Ni Wetu...Wale Yanga Pumzi Imeshakata [emoji4]
Na ubingwa watachukua, hahaaaaMakolo mmepata pointi moja mnaongoza ligi[emoji23][emoji23]
Utapakatwa we jichekeshe chekeshe tuMakolo mmepata pointi moja mnaongoza ligi[emoji23][emoji23]
Sahihisha kidogo hapo ChifuKuna uwezekano mwaka huu Wananchi wakatangaza ubingwa huku wakiwa nyumbani wanakunya juice
mbeleko fcTena kwa kubebwa.
ChukuaAzam wamekaa na point 3 zetu kwa muda mrefu sana ngoja leo tukazichukue
Mechi inayokuja wajipange kukabidhiwa kombe lao[emoji23]Na ubingwa watachukua, hahaaaa
wachezaji wengi hawana utulivu wakipata mpira wanajipigia kina mhilu ni kuwatoa kwa mkopo ni wachezaji wazuri wa kuchezea timu ndogoSimba wanakosa utulivu wanapoteza mipira kirahisi sana
Una ukimwii wa zamani!!!?Utapakatwa we jichekeshe chekeshe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani Simba ana bahati hajafungwa maana hamna alichocheza.