ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Soda ilikua shs's 500, mafuta yalikua 26,00Hivi mara ya mwisho Kagere kufunga ilikuwa lini? Tusije tukawa tunamzungumzia Mayele tu kumbe wakwetu mpaka penati ndio anafunga jicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soda ilikua shs's 500, mafuta yalikua 26,00Hivi mara ya mwisho Kagere kufunga ilikuwa lini? Tusije tukawa tunamzungumzia Mayele tu kumbe wakwetu mpaka penati ndio anafunga jicho
Anyway draw siyo mbaya kwa mwaka huu.Yeah mtashinda kesho asubuhi ktk kipindi cha michezo Wasafi FM
Naona hana mpango nazo kabisa [emoji16]Huyu manula amegombana cleansheet?
tuna fukuza kimya kimyaMakolo zimebaki points ngapi?
Hii timu ina kocha la madridPunguza hasira mkuu
Kwakweli Hizi Kauli Sijui Zimepotelea Wapi Jioni Ya Leo [emoji23][emoji23][emoji23]Hizi kauli bado mnazisikia huko? [emoji1][emoji1][emoji1]
Viporo fc saizi hawana tena Cha kusema"yanga kawaida yenu kuongoza ligi mwanzo"
"Mwisho wa siku simba bingwa yanga tushawazoea"
Hizi kauli zimepotelea wapi?
Mimi ni simba damu mbona wenzangu siwaoni wamekimbilia wapi jamani?Viporo fc saizi hawana tena Cha kusema
Gooooooal kibudenga mtu mbad anatupatia goli la 3 hapaAnyway draw siyo mbaya kwa mwaka huu.
Ngoja kwanza tukapate dawa ya kutuliza maumivu baada ya kukoswa koswa kuangukiwa na kitu kizito kichwan leoMimi ni simba damu mbona wenzangu siwaoni wamekimbilia wapi jamani?
NjaaHii mechi tunashinda tu.
Mlizoea kuongezewa dk 9Muda wote uliopotea , Dk 3 tu..!
Mwamuzi huwezi kung'ata filimbi kwenye clear penaty kama ile. Ni bora wadau wa michezo tukachangishana ili ipatikane hata VAR moja tu ya kukata mizizi ya uonevu wa aina hii, kutoka kwa waamuzi wa mchongo.