FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

Naangalia marudio azam tv kati ya azam na dada yake kolowizard hapa,naona kolo anaongoza 3 bila

20220518_213742.jpg
 
C. E. O. Babra ,Try again, na kamati yote ya usajili - msimu huu mmefeli kwa kiwango Cha kutisha. Kuna kila dalili ya kukosa makombe yote msimu huu- kwa mtazamo wangu, wachezaji wa kigeni wakubaki msimu ujao ni Chama na Inonga tu.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
 
Back
Top Bottom