Aende wapi kwa mujibu wa Mwenyekiti wenu alitakiwa aende kucheza ligi ya Uturuki ila yy kaichagua Simba na kishafika kwani Mwenyekiti ana pasu lake kwenye mshahara wa Banda.
Hapo ndo simba hupigwa, simba haina scouts, simba ina madalali wapigaji, wanakuletea video ona mtoto chenga zake, wanakudanganya huyu anatakiwa na timu hii, wametoa milioni kadhaa wamekataa
Sahihi kabisa tena ni bonge la galasa. Mchezaji wa ovyo mno ana magoli 12 tu wakati rastafarai Kibu ana magoli 18, Bocco ana magoli 22, Kagere ana 24 bado Sakho ana magoli 14. Simba haina washambiliaji galasa, wachezaji wao wote wanagombea ufungaji bora