FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

Hii mechi kama wachezaji wote wa Azam na bench la ufundi na uongozi wao wataiona hii mechi ina umuhimu kwao kupata nafasi ya top four, basi Azam watashinda au watatoa sare. Lakini kama wataingia kucheza mechi ili kumfurahisha boss wao ambaye ni Simba kindaki kindaki kuwa mechi ya leo isiwe tiketi ya Yanga kujipa uhakika wa ubingwa kwa zaidi yaasilimia 90, basi watazioga leo
Azam yataachia yale siku zote yanafanya hivyo hivyo
 
Makolo wanacheza na tawi lao
Hamna mechi hapo ni maigizo tu leo, matokeo yalisha pangwa tayari
Azam anapigwa goli 2 au 1 bila na akiachia sana mpaka 3 atapigwa
 
Hao makolo wakipigwa leo itakuwa jambo jema sana ingawa wanacheza na tawi lao

Makolo.jpg
 
00' Naaam mpira umeanza uwanja wa Chamazi Complex

Azam FC 0-0 Simba SC
 
1'

Prince dube alikuwa yuko kwenye nafasi nzuri lakini amekosa utulivu
 
Back
Top Bottom