FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

Kibu Denis a.k.a John Cena wa klabu ya Simba.
yani mpaka kugusa mpira utinge nyavuni mpaka akusanye miguvu.
 
Jamani uwanja wa Azam unavutia sana ,napenda hayo matangazo yanayopita hapo

Hizi klabu kongwe zijitafakari maanina
Umechunguza hata taa za Chamazi ni tofauti na za Lupaso, uwanja unang'aa mpaka raha angalia sasa mechi za Lupaso usiku kiza
 
Tukiwa half time...tupate walau mawili matatu

D93C26D2-2DD2-4180-8F13-39107FFE55CE.jpeg
 
Huu ugomvi wa ndugu Wala sicomment chochote.........ila ramba ramba lazima wajue msimu ujao kama wataendelea kuwapa points 3 kaka zao , msimu ujao wataendelea kuwepo hapo hapo chamazi
 
Back
Top Bottom