Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
kama hauwezi ushabiki wa mpira kacheze rede na dada zako..Usinitafutie ban Kabwili mkubwa wewe
Anastahili kuanza bila yeye tungekua nyumaBoko hakupaswa kuanza
😂😂😂😂Hii akili ya Kibu kwenye mpira kama ndiyo anaitumia kuvukia barabara tutegemee kusikia lolote
2+/Simba 1 goli hii ni baada ya kufungwagg,fast half au wapi?
Umechunguza hata taa za Chamazi ni tofauti na za Lupaso, uwanja unang'aa mpaka raha angalia sasa mechi za Lupaso usiku kizaJamani uwanja wa Azam unavutia sana ,napenda hayo matangazo yanayopita hapo
Hizi klabu kongwe zijitafakari maanina
Wana niniAzam hawana kipa
Hapo kipindi Cha pili natoa mzamiru na Bocco na kibuAnastahili kuanza bila yeye tungekua nyuma
Zina ubora wa hali juu zinafika mpk kisewe na mwanga unaonekana baadhi ya sehemu.Umechunguza hata taa za Chamazi ni tofauti na za Lupaso, uwanja unang'aa mpaka raha angalia sasa mechi za Lupaso usiku kiza
DahHii akili ya Kibu kwenye mpira kama ndiyo anaitumia kuvukia barabara tutegemee kusikia lolote
Siyo ujinga, ni yale mapenzi ya mshumaa kwa ndugu zaoBaada ya HT,Azam watafanya ujinga wa kucheza defense game itayowagharimu.
Kutoka hapo mpaka Kisewe ni sawa na Kilomita ngap mkuu?Zina ubora wa hali juu zinafika mpk kisewe na mwanga unaonekana baadhi ya sehemu.
TrueAzam hawana kipa
Mkuu achana naye,kama hauwezi ushabiki wa mpira kacheze rede na dada zako..
Kama mtu wa kupanick usiingie katika hili jukwaa.
Kuna baya gani nililokwambia mpka ukwazike?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]