Kuliko ya kipa wa Dodoma?Tumeanza nn? Au huoni anachofanya?
Wamezoea redeNilikuwa sijui kama kudaka mpirani kunaruhusiwa
Elly sasii yupo kazini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watu Wanaokoa Na Mikono Huku Na Si Magolikipa [emoji23]
Hii imezidi Agrey anamwambia kabisa Boko funga 🤣Kuliko ya kipa wa Dodoma?
Kitu Kinaminywa...Refa Anavaa Miwani Meusi Hapa [emoji23]Tulia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii imezidi Agrey anamwambia kabisa Boko funga [emoji1787]
Bahasha ganiBahasha imepita kwa Agrey Morris nini?
Jamaa ana mahesabu makali sanaNabi kaja kutusoma kuelekea derby
Ya khakiBahasha gani
Chezea bahasha ya khaki weyeElly sasii yupo kazini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]