FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

Mhilu na peter banda wanaingia

Kibu denis anatoka
 
Wachezaji wa Azam ni wazito sana kwenye kuruka mipira ya kona na faulo za nje ya 18! Wapunguze ufather na kulea vitambi aisee!
 
Ile ya kipa wa dodoma ilikuwa ni zaidi ya rose muhando.
Yule si tulimpa hela,ila nyinyi leo mmempa hela refa mmeshika mara mbili kapeta.

Kama kawaida yenu penati zote mlizozipata msimu huu mlizipata jioni, so hapa penati ipo.
 
Kocha wa Azam hizi sub zake lengo nini kutoa wapi wa kazi na kuingiza watu laini?
 
Back
Top Bottom