FT: Ligi Kuu Bara | Coastal Union 0-3 Simba SC | Al Janoub Mkwakwani 03/12/2022

Daah, yaani umeamua kumkabia kwa juu ili asipate nafasi ya kuingia kwenye eneo lako..Una hatari[emoji16] Bill
 
Moses phiri mp la general na magoli ya mwendo kasi au kimbunga kosi boooonge la shuti ana kandamiza ndivyo anavyofunga uyu mwamba.
 
Naaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi wa mabao matatu kwa bila dhidi ya Coastal Union

FT: Coastal Union 0-3 Simba SC

.......[emoji2788] Ghazwat....,[emoji818][emoji817]
 
Naomba kujua Jina la Yule Refa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…