FT: Ligi Kuu Bara | Coastal Union 0-3 Simba SC | Al Janoub Mkwakwani 03/12/2022

Timu zote mbili zipo uwanjani zikipasha misuli moto tayari kwa mchezo
 
Wakati wowote mpira utaanza Uwanja wa Mkwakwani

00' Naaam mpira umeanza | Coastal Union 0-0 Simba SC
 
19' Vicente abubakar anapiga shutii lakini golikipa Manula anacheza na kuwa Kona ambayo haikuzaa bao
 
Wakuu samahani, najua si mahala pake lakini naomba kuuliza.

Kwenye wimbo wa Songa -enzi za utoto kwenye kibwagizo kale katoto kanaongea maneno gani?
Wimbo wenyewe uko wapi sasa tuusikilize na tukaone hako katoto kisha tukupatie jibu.

Weka picha ya huo wimbo 😂vinginevyo hayo ni mawenge tu ya kipigo cha kwenye majaruba ya mpunga. Itakuwa maumivu ya kubakwa na kuchomolewa mwiko nyuma hayajaisha.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uyu kizibo ni Mikia mwenzetu mkuu acha kumtukana
 
Game inaonekanaje huko?

Tough sana kiasi tuhitaji sare au ni simple hata goli 3 zinawezekana kupatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…