FT: Ligi Kuu Bara | Coastal Union 0-3 Simba SC | Al Janoub Mkwakwani 03/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Coastal Union 0-3 Simba SC | Al Janoub Mkwakwani 03/12/2022

Timu zote mbili zipo uwanjani zikipasha misuli moto tayari kwa mchezo
 
Wakati wowote mpira utaanza Uwanja wa Mkwakwani

00' Naaam mpira umeanza | Coastal Union 0-0 Simba SC
 
19' Vicente abubakar anapiga shutii lakini golikipa Manula anacheza na kuwa Kona ambayo haikuzaa bao
 
Wakuu samahani, najua si mahala pake lakini naomba kuuliza.

Kwenye wimbo wa Songa -enzi za utoto kwenye kibwagizo kale katoto kanaongea maneno gani?
Wimbo wenyewe uko wapi sasa tuusikilize na tukaone hako katoto kisha tukupatie jibu.

Weka picha ya huo wimbo 😂vinginevyo hayo ni mawenge tu ya kipigo cha kwenye majaruba ya mpunga. Itakuwa maumivu ya kubakwa na kuchomolewa mwiko nyuma hayajaisha.
 
Wimbo wenyewe uko wapi sasa tuusikilize na tukaone hako katoto kisha tukupatie jibu.

Weka picha ya huo wimbo [emoji23]vinginevyo hayo ni mawenge tu ya kipigo cha kwenye majaruba ya mpunga. Itakuwa maumivu ya kubakwa na kuchomolewa mwiko nyuma hayajaisha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uyu kizibo ni Mikia mwenzetu mkuu acha kumtukana
 
Game inaonekanaje huko?

Tough sana kiasi tuhitaji sare au ni simple hata goli 3 zinawezekana kupatikana?
 
Back
Top Bottom