utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Kama ww na Singida Bs mtu na aunt yakeMtu na shosti ake
mkono hauchezi mpira mpuuzi weweKwa hii picha mkono wa sakho inaonekana umezidi
Labda kachukua kanuni za WCmkono hauchezi mpira mpuuzi wewe
hizo ni kanuni za fifa offside kwenye mkono inaanzia baada ya kiwiko kwenda juu ila kushuka chini sio ofside maana ukishika ni adhabuLabda kachukua kanuni za WC
Game imepoa sanaGame inaonekanaje huko?
Tough sana kiasi tuhitaji sare au ni simple hata goli 3 zinawezekana kupatikana?
Wimbo wenyewe uko wapi sasa tuusikilize na tukaone hako katoto kisha tukupatie jibu.
Weka picha ya huo wimbo 😂vinginevyo hayo ni mawenge tu ya kipigo cha kwenye majaruba ya mpunga. Itakuwa maumivu ya kubakwa na kuchomolewa mwiko nyuma hayajaisha.
Ushaandaa mihogo ya kesho?Coastal pigeni hao [emoji240]🦺 koko