FT: Ligi Kuu Bara | Coastal Union 0-3 Simba SC | Al Janoub Mkwakwani 03/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Coastal Union 0-3 Simba SC | Al Janoub Mkwakwani 03/12/2022

Mechi ni mbovu sana labda timu zibadilike kipindi cha pili
 
Hawa wagosi wa kaya uchezaji wao unatia mashaka sana.. ukiwaangalia Kwa jicho la tatu utaona kabisa ni timu inayocheka Kwa maelekezo maalumu.. ubovu tu wa Simba ndio unaosababisha waende mapumziko wakiwa suluhu..

Hebu angalieni nanyie huu uchezaji wa hii timu ya coastal union leo
 
45+3' Kuelekea kuwa mapumziko

Naaam mpira ni mapumziko ambapo hakuna bao kwa pande zote.
 
Wimbo wenyewe uko wapi sasa tuusikilize na tukaone hako katoto kisha tukupatie jibu.

Weka picha ya huo wimbo 😂vinginevyo hayo ni mawenge tu ya kipigo cha kwenye majaruba ya mpunga. Itakuwa maumivu ya kubakwa na kuchomolewa mwiko nyuma hayajaisha.

Mkuu unakataa kupandisha audio hapa, kama unaweza nielekeza jinsi ya kufanya nambie Ili niupandishe
 
Simba anacheza mpira wa kawaida sana. Asipoangalia anaweza kutanguliwa na akapata tabu kutafuta sare

Huyu dogo maji mengi ana mbio onyango amuangalie sana tusije tukasema mgunda hafai
 
46' Kipindi cha pili kimeanza huku Simba wakifanya mabadiliko ametoka golikipa Manula na ameingia Beno
 
Back
Top Bottom