Hata hivyo kule VAR Technology ipo juuUsishangae WORLD CUP inaisha waamuzi wa kibongo hakuna watakacho jifunza...
Safi sanaa....Phiri Goooooooooooooaaal gooal
Bora kuangalia Mpali kuliko huu uchafuMoja Kati ya game mbovu kuwahi kuzishuhudia
Mnajitesa bureeBora kuangalia Mpali kuliko huu uchafu
Kama ilivyokuwa kwa Yanga na SingidaLakini hawa ni ndugu wanaamua tu simba afunge ngapi