Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Hivi Moses Phiri ana magoli mangapi mpaka sasa kwenye NPL?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JomoniiiiYule mwenye virasta ka nsyuka tulimuambia asijisahau na baskeli yake na mabua
Mchezaji tangu ameanza kucheza mpira katika mataifa tofauti tofauti aliyopita lakini hajawahi kupata kiatu
Leo hii anategemea kufutia gundu yake kwenye ligi yetu nani ataruhusu hiyo kitu?
Namuona tu hataki kuandikaMchawi huyo
Hivi Moses Phiri ana magoli mangapi mpaka sasa kwenye NPL?
Ndo amefikisha 10 leoHivi Moses Phiri ana magoli mangapi mpaka sasa kwenye NPL?
Akatafute karume hapo vipo vingiYule mwenye virasta ka nsyuka tulimuambia asijisahau na baskeli yake na mabua
Mchezaji tangu ameanza kucheza mpira katika mataifa tofauti tofauti aliyopita lakini hajawahi kupata kiatu
Leo hii anategemea kufutia gundu yake kwenye ligi yetu nani ataruhusu hiyo kitu?
Inataka wacheze kama timu gani ?Ingawa SIMBA anaongoza lakini, kiufundi nawaona bado ..
Mpuuzi babakomkono hauchezi mpira mpuuzi wewe
Jezi ya SakhoHivi Moses Phiri ana magoli mangapi mpaka sasa kwenye NPL?
Bado dkk 18Huu usaka unaisha mda gani nikaangalie zangu wc
Jamani si tulikubaliana yake ni ng'ombe?Yule mwenye virasta ka nsyuka tulimuambia asijisahau na baskeli yake na mabua
Mchezaji tangu ameanza kucheza mpira katika mataifa tofauti tofauti aliyopita lakini hajawahi kupata kiatu
Leo hii anategemea kufutia gundu yake kwenye ligi yetu nani ataruhusu hiyo kitu?