FT: Ligi Kuu Bara | Coastal Union 0-3 Simba SC | Al Janoub Mkwakwani 03/12/2022

Yule mwenye virasta ka nsyuka tulimuambia asijisahau na baskeli yake na mabua

Mchezaji tangu ameanza kucheza mpira katika mataifa tofauti tofauti aliyopita lakini hajawahi kupata kiatu

Leo hii anategemea kufutia gundu yake kwenye ligi yetu nani ataruhusu hiyo kitu?
Jomoniiii
 
Ingawa SIMBA anaongoza lakini, kiufundi nawaona bado ..
 
68' Konfor anapiga shutii lakini golikipa Beno anapangua na kuwa Kona ambayo haikuzaa bao
 
Yule mwenye virasta ka nsyuka tulimuambia asijisahau na baskeli yake na mabua

Mchezaji tangu ameanza kucheza mpira katika mataifa tofauti tofauti aliyopita lakini hajawahi kupata kiatu

Leo hii anategemea kufutia gundu yake kwenye ligi yetu nani ataruhusu hiyo kitu?
Jamani si tulikubaliana yake ni ng'ombe?
 
Back
Top Bottom