FT: Ligi Kuu Bara | Coastal Union 0-3 Simba SC | Al Janoub Mkwakwani 03/12/2022

60' Phiri Goooooooooooooaaal gooal

General Moses Phiri anaweka kambani bao la pili kwa mkwaju wa penalty
 
Moses Phirii Cha pili hicho na bao lake la 10
Yule mwenye virasta ka nsyuka tulimuambia asijisahau na baskeli yake na mabua

Mchezaji tangu ameanza kucheza mpira katika mataifa tofauti tofauti aliyopita lakini hajawahi kupata kiatu

Leo hii anategemea kufutia gundu yake kwenye ligi yetu nani ataruhusu hiyo kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…