FT: Ligi Kuu Bara | Coastal Union 0-3 Simba SC | Al Janoub Mkwakwani 03/12/2022

Dakika 5 zimeongezwa kwa ajili ya Moses scars Phiri kutafuta bao la 3 afunge hesabu
 
Kanoute anaonyeshwa Kadi Nyekundu baada ya kupata Kadi ya kwanza ya Njano
 
Anatoka bocco anaingia akpan na enonga anatoka anaingia otara
 
Daaah sasa kwa dakika hizi 5 za nhongeza zilizobaki hamuoni kadi nyekundu itaenda kutugharimu

Costal wanaweza kurudisha tatu na kuongeza

Washindwe wao kutumia fursa
Ati nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…