Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
IhefuWashirikiana fc vs waazima kocha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IhefuWashirikiana fc vs waazima kocha
Huyu kibendera Simba wasishambulie kanyanyua bendera.25' Sakho anaweka kambani bao, lakini mwamuzi anasema ni Offside
Hakuna kitu kama hicho ni "Nguvu moja tuuKipigo kwa unga kitapendeza
Hapana ilikua kweli offsideWashaanza kukataa Magoli...!
Kuwakomesha watafunga mengine...!
Huelewi ipi ndio ipiHizi jezi leo zinanipa wakati mgumuu
Yaniiii unakuta nashangilia huku kumbe sioHuelewi ipi ndio ipi
Nabi wizardMakolo wizard
Mtu na shosti akeHizi jezi leo zinanipa wakati mgumuu
Picha za kuungaunga hatutaki hapa offside wachawi WENZIO wamesema[emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 2434542
Offside iko wapi hapa
Coast wametoa bahashaView attachment 2434542
Offside iko wapi hapa
Kwa hii picha mkono wa sakho inaonekana umezidiView attachment 2434542
Offside iko wapi hapa