FT: Ligi Kuu Bara | Coastal Union 0-3 Simba SC | Al Janoub Mkwakwani 03/12/2022

No, sio Jonesia mkuu
Hivi umeuliza kutaka kujua au umeamua kuja kubisha hapa? Unahangaishwa na kitu gani ilhali ni jambo jepesi tu.

Nimekuambia aliyechezesha Coastal na Simba ni Jonesia Rukya..!
 
J Rukyaa (Chini hapo) namfahamu Chief, sio aliyechezesha juzi Simba na Cosatal
images (1).jpg
 
Back
Top Bottom