FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

Hahahahaha watu walikuwa wanaimba jukwaani Kibu Kibu Kibu

Kibu akasema ngoja niwaonesheni Kibu halisi mliyemzoea

Akapiga pasi mkaa, jukwaani kelele zikakata
 
Mna uhakika hii ndiyo Simba kikosi B?? πŸ˜€ yaani inapelekeshwa na Dodoma!!! Hii timu inatakiwa ishushwe iungane na polisi fc
 
Simba Chama hata akitaka mil 50 mpeni. Mechi hizi mbili nilikuwa na mwangalia Saido kama anaweza kuvaa viatu vya Chama ila naye wa kawada.
Milioni 50 kwani Chama hucheza peke yake uwanjani?!
 
Simba Chama hata akitaka mil 50 mpeni. Mechi hizi mbili nilikuwa na mwangalia Saido kama anaweza kuvaa viatu vya Chama ila naye wa kawada.
Saido anamuhitaji zaidi Chama kuwepo uwanjani mkuu......ili apewe pasi nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…