Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Hawa dodoma jiji ni wa kushuka daraja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatufanyia mazuri,ni jembe hasa anadefend na kuattack......what a player........Kibu DMlioko uwanjani kwanini hamzomei Kibu toa kibuuu
Guvu moya 😀Piga La Pili hao....
Wana Uto Wanaumia Sana.
Usinizoee ujinga peleka kwa dada zakoGuvu moyaaa kolo kolo
Guvu moyaaaUsinizoee ujinga peleka kwa dada zako
Milioni 50 kwani Chama hucheza peke yake uwanjani?!Simba Chama hata akitaka mil 50 mpeni. Mechi hizi mbili nilikuwa na mwangalia Saido kama anaweza kuvaa viatu vya Chama ila naye wa kawada.
Saido anamuhitaji zaidi Chama kuwepo uwanjani mkuu......ili apewe pasi nzuriSimba Chama hata akitaka mil 50 mpeni. Mechi hizi mbili nilikuwa na mwangalia Saido kama anaweza kuvaa viatu vya Chama ila naye wa kawada.