FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

Kocha ndio ana mechi ya pili tu, wacha aendelee kufanya vitu jikoni..
 
90+2' Kuelekea kumalizika kwa mchezo, Dodoma Jiji wanapata Kona

Inapigwa kulee lakini golikipa Manula anaruka na kudaka.

Naaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Dodoma Jiji FC.

FT: Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC
 
Hongereni sana,ila timu yenu watani bado sana.

Karibuni kesho Benjamin Mkapa stadium


Yanga vs Ruvu shooting


NB:Kumbukeni Yanga amebakisha mechi 2 tu nje ya Dsm,zote ni Kwa Ben hapo
 
Back
Top Bottom