Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Red devilsWe ni shabiki wa ibilisi wekundu nini mkuu?
Kocha wetu mpya
😊Hii game tukishinda tuna bahati. Simba ya Mgunda nzuri sana kuliko hii asee.
Nipo nasikilizia tu mpira hapaZina zile
Wanaostahili mishahara wachache sana. Hawafiki 10
Kachezeshe wewe. Tuache na timu yetu.Kocha anamchezesha boko, nyoni, kibu wote kwa wakati mmoja. U ategemea Nini?
Purmbavu kabisa huyu kochaKocha anamchezesha boko, nyoni, kibu wote kwa wakati mmoja. U ategemea Nini?
Nimekupenda buure zinazile😍Nipo nasikilizia tu mpira hapa
Kocha ni wa kulaumiwa saaana, marmarye.
Kachezeshe wewe. Tuache na timu yetu.