kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Ni kweli hakuna timu, maana tulizoea kuona 5-0kocha alisema falsafa yake ni kushambulia ila hakuna timu hapa.
Tushafunga usajili kwa hao tulowapata inatoshaYaani nipeni kazi niwaketee wachezaji dizaini ya kibu,kwpama na kyombo huku tandika wamejaa
Kulikuw na haja gan ya kumwondoa Mgunda timu ikiwa imebalance na ikicheza vizur....Bado hawajazoeana, kuna wachezaji wageni, kocha pia mgeni baada ya muda kutakuwa na muunganiko mzuri
Uwe na subira mambo mazuri yanakuja ni ugeni tu wa kocha, subiri kuona 8-0Ni kweli hakuna timu, maana tulizoea kuona 5-0
Mgunda bado yupo kaletwa huyo ili wasaidianeKulikuw na haja gan ya kumwondoa Mgunda timu ikiwa imebalance na ikicheza vizur....
Thubutu,mniite mbwaHuyu kocha wa Simba 😀😀😀,tutakula naye Pasaka kweli......
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kama timu haino kocha, watu wameokotwa kijiweni tu wakaitwa uwanjani
Imebuma Wakawekeze Match IjayoKazi Tunayo Ahadi Zinaendelea [emoji881][emoji116]View attachment 2491684
Nitakupeleka mwenyewe Lita ukabadilishe jinaThubutu,mniite mbwa
Mumnunue rasmi sasa kama mnamuona mchezaji mzuri kwa kuifunga tu Dom CityHujamuona hata anavyochukua mpira mkuu. Huwezi kumlinganisha na Bocco. Huyu akicheza na Chama, Saidoo na Sakho utopolo watajua hawajui.
Mkamilike kabisa na mkaagize wengine kwengine ili mkose sababu.Hujamuona hata anavyochukua mpira mkuu. Huwezi kumlinganisha na Bocco. Huyu akicheza na Chama, Saidoo na Sakho utopolo watajua hawajui.
Nakukumbusha tu kuweka akiba ya maneno April siyo mbali, Pasaka itakuwa tarehe 09/04/2023Thubutu,mniite mbwa
Akifika uchawi upoNakukumbusha tu kuweka akiba ya maneno April siyo mbali, Pasaka itakuwa tarehe 09/04/2023
Hakuna cha uchawi wala nini tuna imani na kocha pamoja na wachezaji wetu kila kitu kitakuwa sawaAkifika uchawi upo
atakuja kuchanganya na ligi imeisha.Bado hajachanganya, mumpe muda. Hata sisi mayele alikua akipitwa na kibu D kabla hajachanganya