Wakati kocha akiachana na Vipers, kuna mwamba alitoa maoni yake. Kwa mechi hizi mbili za Simba ndicho kilichojitokeza kwa mpira wa huyu kocha. Ngoja tuone mbeleni pengine falsafa yake itakuwaje.Ni kama timu haino kocha, watu wameokotwa kijiweni tu wakaitwa uwanjani
Simba SC ni lonyalonya FC enzi zetu za pale dox stend ndio jina la Simba SCAnaonekana hajacheza mpira mda mrefu mno
In short simba mmefanya US*NGE tena kwenye usajiri
Tuliwaambia mseme tuwachangie tu kama hamna hela
BALEKE AT LEAST
Kibu kafanya kazi kubwa sana leo, kwa msiojua jicho la football hamuwezi kujua. Angeanza okra tungelizwa kabisa, kibu anakaba na kusaidia kushambulia.Yaani nipeni kazi niwaketee wachezaji dizaini ya kibu,kwpama na kyombo huku tandika wamejaa
Hakulalamikia mafanikio bali aina ya mpira wake ndicho alichkuwa anakizumgumzia. Ni kama Simba ilivyoachana na kocha Pierre lechantre ambaye hakupoteza mechi ila aina ya mpira wake ukaonekana sio.Tatizo la huyo mdau ni efter thought.Kocha huyo huyo aliwafanya wakachukua ubingwa na FA ya Uganda na kufika makundi kwa kumtoa Mazembe.Au alisahau ukocha wake baada ya kuondoka??
Huyo ndio kocha aliyewapa mafanikio na Uganda muda mrefu hawajafikiniwa kupeleka timu group stage club bingwa. Lakini pia kutinga kwa kuitoa TP Mazembe unafikiri ni kazi ndogo? Hiyo Vipers kaijenga mwenyewe hadi kuwa tishio.Wakati kocha akiachana na Vipers, kuna mwamba alitoa maoni yake. Kwa mechi hizi mbili za Simba ndicho kilichojitokeza kwa mpira wa huyu kocha. Ngoja tuone mbeleni pengine falsafa yake itakuwaje.View attachment 2491877
Anaonekana hajacheza mpira mda mrefu mno
In short simba mmefanya US*NGE tena kwenye usajiri
Tuliwaambia mseme tuwachangie tu kama hamna hela
BALEKE AT LEAST
Kwakuwa tumeshinda, vipi tukuite nani?Mkishinda niite mbwa mama mkwe[emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28] napenda mbwembwe zake mtangazajiIla huyu mtangazaji wa Azam sports ananifurahisha na namna anamtangaza Kibu Denis[emoji23]
"Eti anakwenda Kibu Denis wa DUBAI"
Nadhani lengo lake aoneshe utofauti wa Kambi ya Kigamboni na Dubai [emoji23][emoji23][emoji119]
Helo mrembo niko na kibu hapa unaweza ukatupatia namba zako pm?[emoji28][emoji28][emoji28] napenda mbwembwe zake mtangazaji
Ipokocha alisema falsafa yake ni kushambulia ila hakuna timu hapa.
Dua la kuku hilo,sie ni kama Arsenal tu daima mbeleWatani Poleni.......DK Zinazidi Kuyoyoma hapa....Kesho tunawaombea balaa Liwakute
Watu hawamzungumzii sana Kennedi Juma.Fikiria Qatara anamzidi mshahara Kened Juma