Naona mmeamka mmevurugwaaaKila la heri timu ya makao makuu ya nchi DODOMA JIJI, piga paka hao 1 tu wazidi kuvurugana.
Nilikua offline kidogo...
Ile touch ya kwanza ya Baleke kumzunguka beki kabla ya kanzu ya kipa wengi hawajaiona. Classic EPL goal.Ina maana mpaka sasa babu onyango ajaleta malalamiko Tu
Kwanza Simba wamefunga goli dakika 2+ kipindi cha Kwanza hii aikubaliki
Pia goli kafunga Jean baleke usajili mpya mechi ya Kwanza na kufunga kwanni iwe ivi tff awaoni hili?
Alafu lile goli pasi ni ya kichwa kutoka kwa kibu d na baleke kafunga kwa kumpiga kanzu kipa hii aikubaliki
Simba Wana makocha 5+ kwenye benchi kwann tff wanaruhusu?
Muwakilishi wetu babu onyango peleka malalamiko Aya sehemu husika tafazali.
Hawa nimeshawasoma, wengi wao wanamtafutia kocha sababu zisizo na maana, hawafikirii tena, wanajiropokea tu!.Wachezaji wengi sio kikosi cha kwanza. Wengi hawajacheza pamoja muda mrefu! Hii game kutegemea makubwa ni uongo, tuliomba tushinde tu.
Yanga wangekosa Wachezaji wengi kiasi hiki na kushinda ingekuwa habari kubwa ila sisi Simba sijui tunajiona Barcelona? Naamini timu itatulia tu!
Binafsi nashukuru hatujadondosha pointi hizi game mbili, hizo zinazokuja tutaona tofauti sasa.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Nyuma MWIKODua la kuku hilo,sie ni kama Arsenal tu daima mbele
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umerudi, jana nilitafuta kamba yangu nikufunge ili usikimbie bahati yako sikuiona, ukatumia ile nafasi kusepa...Ushirikiano mtaupata leo jioni wakati wananchi wanacheza na Ruvu shooting.
Simba kuna baadhi ya wachezaji wenye miili mikubwa lakini hawana nguvu za kuitumia mfano Kennedy, Nyoni, Kyombo, afadhali hata Kibu anapambana na kutumia mwili wake vizuri kupambania na kucontrol mipira. Outtara ana mapungufu yake lakini mnamuonea.Watu hawamzungumzii sana Kennedi Juma.
Ila huyu mwamba anakiwasha vibaya sana yaani.
Makosa mengi ya Quttara yalirekebishwa na huyu mwamba.
Si Juzi tu hapa mlikuwa mnamshangilia Kyombo amewafunga wazunguKyombo hata timu yangu ya UMISETA mkoa asingepata number
Sawa mkuu,na hongera kwa kuendelea kupambania nafasi ya pili Kwa bidii kubwaNilikua offline kidogo...
Hahahahhahhhha
Jiangalieni hapo juu wapendwa napenda muendelee kuwepo hapo japo miaka 2 mfululizo maana ile 4 tulokaa sisi hamtakaa muifikie.....so jishikilieni vzrSawa mkuu,na hongera kwa kuendelea kupambania nafasi ya pili Kwa bidii kubwa
Kuna Wakati huwa ana kiwasha Sana lakini muda mwingine huwa anapoteana mnoJembe sana Kibu denga ππ
Anajua kunogesha mpira Sana[emoji28][emoji28][emoji28] napenda mbwembwe zake mtangazaji
Labd bangi inakua haijambangua vizuri kama kweli anavuta π πKuna Wakati huwa ana kiwasha Sana lakini muda mwingine huwa anapoteana mno
Ila mnajisahaulisha nyie. Before hiyo minne, nyuma ake ilikuaje?Jiangalieni hapo juu wapendwa napenda muendelee kuwepo hapo japo miaka 2 mfululizo maana ile 4 tulokaa sisi hamtakaa muifikie.....so jishikilieni vzr
Jana alijitahidi kucheza vizuri, upande wake aliweza kupandisha mashambulizi hadi kufanya mabeki kutopanda Sana upande wakeLabd bangi inakua haijambangua vizuri kama kweli anavuta π π
Mi namkubali shughuli zake dk zote anazocheza hata kama anakosa Clear chancesKuna Wakati huwa ana kiwasha Sana lakini muda mwingine huwa anapoteana mno