FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

Mpooo utopwinyoz naona nyie huku ndo mnahara kwa kitete cha mnyama kutopoteza...maana kwa mwendo huu mtavutwa soon hapo juu...
Leo ni droo mnatoa...
 
Ina maana mpaka sasa babu onyango ajaleta malalamiko Tu
Kwanza Simba wamefunga goli dakika 2+ kipindi cha Kwanza hii aikubaliki
Pia goli kafunga Jean baleke usajili mpya mechi ya Kwanza na kufunga kwanni iwe ivi tff awaoni hili?
Alafu lile goli pasi ni ya kichwa kutoka kwa kibu d na baleke kafunga kwa kumpiga kanzu kipa hii aikubaliki
Simba Wana makocha 5+ kwenye benchi kwann tff wanaruhusu?
Muwakilishi wetu babu onyango peleka malalamiko Aya sehemu husika tafazali.
Ile touch ya kwanza ya Baleke kumzunguka beki kabla ya kanzu ya kipa wengi hawajaiona. Classic EPL goal.
 
Wachezaji wengi sio kikosi cha kwanza. Wengi hawajacheza pamoja muda mrefu! Hii game kutegemea makubwa ni uongo, tuliomba tushinde tu.

Yanga wangekosa Wachezaji wengi kiasi hiki na kushinda ingekuwa habari kubwa ila sisi Simba sijui tunajiona Barcelona? Naamini timu itatulia tu!

Binafsi nashukuru hatujadondosha pointi hizi game mbili, hizo zinazokuja tutaona tofauti sasa.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hawa nimeshawasoma, wengi wao wanamtafutia kocha sababu zisizo na maana, hawafikirii tena, wanajiropokea tu!.
 
Ushirikiano mtaupata leo jioni wakati wananchi wanacheza na Ruvu shooting.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umerudi, jana nilitafuta kamba yangu nikufunge ili usikimbie bahati yako sikuiona, ukatumia ile nafasi kusepa...
 
Watu hawamzungumzii sana Kennedi Juma.
Ila huyu mwamba anakiwasha vibaya sana yaani.

Makosa mengi ya Quttara yalirekebishwa na huyu mwamba.
Simba kuna baadhi ya wachezaji wenye miili mikubwa lakini hawana nguvu za kuitumia mfano Kennedy, Nyoni, Kyombo, afadhali hata Kibu anapambana na kutumia mwili wake vizuri kupambania na kucontrol mipira. Outtara ana mapungufu yake lakini mnamuonea.
 
Simba inahitaji watu wapya msimu ujao, wasimuonee mtu huruma

Kibu
Kyombo
Kennedy
Bocco
Okra
Okwa
Akpan
Kapama
Manura*
MHussein*
 
Sawa mkuu,na hongera kwa kuendelea kupambania nafasi ya pili Kwa bidii kubwa
Jiangalieni hapo juu wapendwa napenda muendelee kuwepo hapo japo miaka 2 mfululizo maana ile 4 tulokaa sisi hamtakaa muifikie.....so jishikilieni vzr
 
Jiangalieni hapo juu wapendwa napenda muendelee kuwepo hapo japo miaka 2 mfululizo maana ile 4 tulokaa sisi hamtakaa muifikie.....so jishikilieni vzr
Ila mnajisahaulisha nyie. Before hiyo minne, nyuma ake ilikuaje?
 
Labd bangi inakua haijambangua vizuri kama kweli anavuta 🙂 😆
Jana alijitahidi kucheza vizuri, upande wake aliweza kupandisha mashambulizi hadi kufanya mabeki kutopanda Sana upande wake
 
Back
Top Bottom