Kumshukuru Mungu ni Muhimu, kwasababu yeye ni mfalme wa Mbingu na Ardhi.Huyo ni Mtanzania, Watanzania wote wakihojiwa kauli zao za utangulizi hufanana. Wachezaji na makocha wote wakibongo utasikia wakianza kwanza kwa kusema "kwanza namshukuru Mungu kwa............. Ni mazoea tu
Ghazwat nawewe unaungana na hii kauli ya kuwa Mgunda katoa sare na kufungwa kwasababu ya timu kukosa morari? Mimi siyo mshabiki wa Simba ila hii kauli napinggana nayo. Isifiikie kumkosea heshima hivyo kisa tu mmepata kocha mpya ambaye ndio kwanza anaanza.Kiongozi alielewa kengeza,shida mgunda anatabia kila akiulizwa majibu yake ni yakujirudia na yasiyo ya kujiamini ndio chanzo Cha madroo na kufungwa Kwa kukosa morari
Mkuu changaule Kwa hilo siwezi kuunga kwasababu kutoka sare ama kufunga kwa Timu inategemea mambo mengi.Ghazwat nawewe unaungana na hii kauli ya kuwa Mgunda katoa sare na kufungwa kwasababu ya timu kukosa morari? Mimi siyo mshabiki wa Simba ila hii kauli napinggana nayo. Isifiikie kumkosea heshima hivyo kisa tu mmepata kocha mpya ambaye ndio kwanza anaanza.
Mzee wa "kwanza tunamshukuru mwenyezi Mungu."
Makolo mjue bila kupewa penati au redcad basi leo makolo mnapoteza point 2 au zote 3
Kila lakheri Dodoma jiji timu ya makao makuu ya nchi yetu tupo pamoja nanyi
Kama Rage alivyowaita 'mbumbumbu'.Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
Kocha badala ya kuongelea tactics, preparations na analysis ya game yeye ni "tunamshukuru mwenyezi Mungu" tu. Katika mahojiano yake you gain nothing, daily ni same shit.Huyo hasa ndyo anaetakiwa kushukiriwa kwa kila mwenye akili timamu
Kama Rage alivyowaita 'mbumbumbu'.
Tutawapiga ivyoivyoKazi Tunayo [emoji881][emoji116]View attachment 2491684
Mkishinda niite mbwa mama mkwe[emoji16]Kila la heri mnyama
Kwa sura sawaWachezaji waliopo wa Simba ni wazuri na inashinda.
Mkuu rodrick alexander Hatua ambazo mashabiki watachukua kama kufanya nini hapo?Hawa Dodoma wameahidiwa pesa ila kama watacheza kiushindani hamna tatizo ila kama watakuja kucheza rafu na kuumiza wachezaji wetu ni wakati mashabiki tuchukue hatua ili iwe fundisho maana hatuna viongozi wanaotambua majukumu yao
Mkuu kadi nyekundu na penati huwa mnazinunua kwa marefa haswa kipindi cha pili mkiona mechi ngumuPenalty na Kadi Nyekundu Au Njano si katika sehemu ya mchezo wa Soka?
Mtani Wangu Gongowazi..[emoji196]