FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

Kocha badala ya kuongelea tactics, preparations na analysis ya game yeye ni "tunamshukuru mwenyezi Mungu" tu. Katika mahojiano yake you gain nothing, daily ni same shit.
Kufikisha miaka 50 wewe sidhani maana utaugua magonjwa ya moyo na pressure mapema sana
 
Kocha Mgunda kwenye press au mahojiano kauli zake pendwa zilikuwa "KWANZA NAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU....NA MAANDALIZI YOTE YA MCHEZO WETU YAMEKAMILIKA........"


Hapo kwenye " maandalizi yote ya mchezo yamekamilika" kwa mtu anaetumia ubongo wake vizuri anapaelewa sana kwa sababu Kila mchezo una maandalizi yake kulingana na mpinzani unaeenda kukutana nae.
 
Okay.. Wakati mwingine pitia Uzi mpaka mwisho, huwa hatukosi kueleza muda wa mchezo.

Kama hapa mwisho kuna sehemu inasema... Kumbuka mchezo ni kuanzia saa 1:00 Usiku [emoji354]
Shukrani, nimepitia ila nikawa sijaona palipo andikwa muda wa kuanza inawezekana hata macho ya utu uzima yanachangia kutoona vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…