Usikimbie tuKwa kikosi cha simba wakipata sare wamshukuru mungu
Kibu ndani, okra nje ..Daaaah aise sikuona, kumbe na Kibu naye kaanza
Kwa vile Bocco na Baleke wamo ni bora angemuweka Okrah apige wingaDaaaah aise sikuona, kumbe na Kibu naye kaanza
Kama mchezaji kweliNamuona Kibu Denga hapa ametulia kwa umakini
Nguvu mojaSIMBA forever
Endelea kutupa updates hiyo game ya mchangani tunasubiri mpira wa kikubwa hapaShuti limegonga mwamba