Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hata wao walianzia huku hukuEndelea kutupa updates hiyo game ya mchangani tunasubiri mpira wa kikubwa hapa
Tunawafuatilia kwa ukaribu wa hali ya juu sanaDaah Beki kitasa Quattara nusura achomeshe hapa
Kwamba huzioniMnaotizama hii mbungi live shusheni update basi.
Baleke anakimbiza sana πHii simba vipi?
Kuna sehemu inabidiSaido anacheza rafu mbaya sana hapa
Hawa ndio wanafanya wachezaji wa ndani walipwe salary ya laki 5Boko anapiga bonge la shuti hapa π