Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Huo ujinga wao mbona wanaufanya mapema sanaDodoma jiji wanapoteza Muda...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ujinga wao mbona wanaufanya mapema sanaDodoma jiji wanapoteza Muda...
Nimeshaanza malalamikoHii simba vipi?
Asante,ila lugha hizo unazotumia wengine tulishatoka huko,unaonekana jinga fulani tuTopolo tuliza kalio chini....Wanaume wakiwa wamekaa Usipende kupitisha pitisha hizo kalio ..sawa!!!???
Huna mamlaka ya kuwazuia watu kuchangia huu uzi. Wewe ni mtoto mdogo sana.Ndio maana nikawaambia topolo mtulize kisabengo.....Hapa hapawahusu
Topolo unaumia sana ..relaxDaaaah huyu Matelema jinga sana
Uto kama uto gem yako keshoTulia wewe mfanyakazi wa Mwamedi. Huu mchezo hautaki hasira!
Huyo Matelema angemfinya mtu au kutoa pasi tu.......local players ni hawajui watendalo 😀Wametukosa kwenye Counter Attack
Fanya tu umsamehe. Akikua ataacha.Asante,ila lugha hizo unazotumia wengine tulishatoka huko,unaonekana jinga fulani tu
Soon mtapoteana hapaHuna mamlaka ya kuwazuia watu kuchangia huu uzi. Wewe ni mtoto mdogo sana.
Hawa teenager shida sanaFanya tu umsamehe. Akikua ataacha.
Hatupo hapa kwasababu game ni 0-0 , utakuwa mgeni sana hapaSoon mtapoteana hapa
Kaa hapa hapaSouth africa washakata Umeme hawa wasengeeee sioni gameee
Umeme ukikatika hata internate inkuwa 2G au G
Asante,ila lugha hizo unazotumia wengine tulishatoka huko,unaonekana jinga fulani tu
Anafanya kila kitu ila bahati tuKibu Wa Moto Leo
Mbona kama mnapaniki kabla hata ya mchezo kuisha! Sasa hiyo gemu ya kesho ina uhusiano gani na hii mechi inayojadiliwa humu?Uto kama uto gem yako kesho