Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Honestly,beki line ya Simba inamakosa mengi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutaki wanafikiMbona kama mnapaniki kabla hata ya mchezo kuisha! Sasa hiyo gemu ya kesho ina uhusiano gani na hii mechi inayojadiliwa humu?
Mabeki wenu wanasubilia mpira udunde,kosa kubwaKuna tuta hapa
Huyo mwamba tangia atuchome kwenye game ya yanga sitaki hata kumsikia ..Outtara hamna kitu
Yaani tuwanunulie simu za kuuzia sura, halafu bado wanatutukana. Hivi hawajui kama wako na wazazi wao humu!Hawa teenager shida sana
Hatujakimbia tumejaa teleNdugu zangu wa Simba mbona mmeukimbia Uzi wetu jamani?
Guvu moya [emoji3]
Siku ukistaalabika,utajiona ulikuwa mjinga sanaPita hivi!! Topolo
Hapana unaondokaje kijiwe cha Kahawa mkuu 😀Watani Mko Wengi humu...Baadae msitoweke tu
Huku mnatafuta ustaarabu ila ninyi ni watu wazuri wa kubwekaSiku ukistaalabika,utajiona ulikuwa mjinga sana
Kwani tunawashangilia, nyinyi! Sisi mbona tupo upande wa Dodoma Jiji! Au mnataka huu uzi mchangie wenyewe tu! Mbona hautanoga!!!Hatutaki wanafiki
Weeeee usimtaje taje Kibu,unatukosea sana tuliompa hadi uraia,na unamkosea kocha wetu aliyempa zawadi kule dubenga 😀Boko na kibu. .. wapumzike
Waingie kina nani, ndiyo wachezaji wetu tegemeoBoko na kibu. .. wapumzike