Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Ndaga fc mwaka huu lazima imalize ya tanoKikosi
Hapana. Simba haina Bahasha this time tuwe wakweli ila kiukweli ina wachezaji mizigo hasa wajiongozwa na Kibu DenisIle simba ya Geita ya bahasha
Mbumbumbu mnashinda na njaa 😀Utopolo wanahesabu dakika... hii mechi tunashinda
Mbumbumbu mnashinda na njaaUtopolo wanahesabu dakika... hii mechi tunashinda
hahahaaa wwkajua wamerogwaaaaaa hahahahaaaa mporaaaamporaaaa shemejiiHaha kumbe ni maplastiki kwa ajili ya kulinda godoro dhidi ya katerero
Bado dakika ngapi?Mbumbumbu mnashinda na njaa
Kwani kushinda njaa siyo kushinda? Mihogo wahedMbumbumbu mnashinda na njaa 😀
Leta updatesH
Kwani kushinda njaa siyo kushinda? Mihogo wahed
Afadhali maana imechosha sana kuangaliaButubutu limeisha
Ni kushinda piaMbumbumbu mnashinda na njaa