Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Yanga tuu anaeweza hizoPigeni comeback
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga tuu anaeweza hizoPigeni comeback
Kibu vs MayeleKuna Utopolo koment zao ni kama wamechanganyikiwa. Huwa hamuoni kabisa haya ya kujiheshimu?
Ushaanza kuujua ikweli na uhalisia kuwa huna timu ya kushindana na Yanga sembuse AzamHapa ubingwa ni ndoto na miujiza
Azam nayo baada ya kumuondoa Kally Ongala, kama kaimu kocha mkuu, imeanza kucheza kiboya boya kama simbaUshaanza kuujua ikweli na uhalisia kuwa huna timu ya kushindana na Yanga sembuse Azam
Teh!😀Nakazia bestie. 🤣🤣🤣🤣
Kweli swahiba Diroo ni tamu eti. 😀Teh!😀
Asikuambie mtu swahiba droo tamu 😀Kweli swahiba Diroo ni tamu eti. 😀
Ule ni uzi wa Karne[emoji23][emoji23]Kibu vs Mayele