Aliyeanza ndiyo mshindi, habari mnayoooooMaskini tena bojoooooo
Tungefungwa kabisa ndo ningesikitika aisee
Juma mgunda amewaongezea nini wachezaji wa simba? Ni wakati sasa, simba wamuonyeshe mlango wa kutokea. Bora wamchukue meki maksimeKauli ya Kocha wa Simba SC kuelekea mchezo dhidi ya Kagera Sugar.View attachment 2453816
Heeee ya wapi hii ledi bantu?? Si mlikua mnashabikia Mbape na ile kamu baki yake na kumuita shujaa kwa sbb ni Inonga basi inonga karudisha tayari washindi ni wao?Aliyeanza ndiyo mshindi, habari mnayooooo
Hapa ubingwa ni ndoto na miujiza
Kwani Chama na Bocco hawakucheza leo mkuu?Hapa ubingwa ni ndoto na miujiza
Je lengo letu ni hilo?Points 4 ugenini siyo mbaya. Tena bila kuvaa jezi misiba kawa wale watu
BoriiiiiiiriechezwaaaaatiiiiiiMashabiki wa Kagera tuna imani na timu yetu. Wamepiga pira matoke, pira kate... watu wameloa mbayaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wametepeta...
Unatafuta nini hapa?Aliyeanza ndiyo mshindi, habari mnayooooo
Upo nimekumiss, nasheherekea ushindi, wa rafiki zetu Kagera 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unatafuta nini hapa?
Mbona hawajashinda, embu acha fujo.Upo nimekumiss, nasheherekea ushindi, wa rafiki zetu Kagera 🤣🤣🤣🤣🤣🤣