Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Yanga tuu anaeweza hizoPigeni comeback
Kibu vs MayeleKuna Utopolo koment zao ni kama wamechanganyikiwa. Huwa hamuoni kabisa haya ya kujiheshimu?
Ushaanza kuujua ikweli na uhalisia kuwa huna timu ya kushindana na Yanga sembuse AzamHapa ubingwa ni ndoto na miujiza
Azam nayo baada ya kumuondoa Kally Ongala, kama kaimu kocha mkuu, imeanza kucheza kiboya boya kama simbaUshaanza kuujua ikweli na uhalisia kuwa huna timu ya kushindana na Yanga sembuse Azam
Teh!πNakazia bestie. π€£π€£π€£π€£
Kweli swahiba Diroo ni tamu eti. πTeh!π
Asikuambie mtu swahiba droo tamu πKweli swahiba Diroo ni tamu eti. π
Ule ni uzi wa Karne[emoji23][emoji23]Kibu vs Mayele