Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Acha uchawi wewe kuwa mzalendo 🙁Lakini pia Boco anahitaji sub ya haraka saaaaana. Anaruka ruka tu
Kona goli
TuliaMamaaeeee
Hayuko form kabisa leo. Bahati nzuri saikolojia yangu kwa wachezaji wa Simba iko vizuri sana.Acha uchawi wewe kuwa mzalendo 🙁
Ackson Mwansasu au?Tulia
Tuwe na utulivuKurudi ndio itakuwa mtihani
Mwache straiker wetu kwanzaHayuko form kabisa leo. Bahati nzuri saikolojia yangu kwa wachezaji wa Simba iko vizuri sana.
Vile utamtambuaAckson Mwansasu au?
Kurudisha ndio itakuwa mtihani
Guvu moya 😀Vile utamtambua