FT: Ligi Kuu Bara | KMC FC 1-3 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba 26/12/2022

Hivi KMC kupeleka mechi Mwanza walikuwa wanawaza nini? Kwamba kuwakomoa Simba na Yanga au ndio waliamini watapata matokeo huko?
 
Nikiwa mpokea kibahasha wa KMC, mtusamehe kwa hilo moja, msije punguza Next time.
 
Tunashabikia kwa faida:

1672067055651.png
 
Hivi KMC kupeleka mechi Mwanza walikuwa wanawaza nini? Kwamba kuwakomoa Simba na Yanga au ndio waliamini watapata matokeo huko?
Nahisi hawajui kuwa viwanja vingi siku hizi atleast vinachezeka mwisho wamekula kichapo.
 
Back
Top Bottom