Kmc msiniangushe
Wao ni kina nani mkuu? Mpira una mambooo unaweza shangazwaKweli hii Simba ni ya kucheza na Yanga au Azam? Mhhh
Yani wapo "kileleni"lakini wanamachunguAlama 3 Goli 3. Tumefunga Mahesabu kwa Leo. Ahsanten UTOPOLO kwa Dua zenu Mbaya hakika MWIKO uliochomekwa Nyuma yenu unawaletea Machungu.
Kabisaa next time wabane miguuu kabisa wasifunge hata mojaNikiwa mpokea kibahasha wa KMC, mtusamehe kwa hilo moja, msije punguza Next time.
Heheh.. Hao washawah kuwa na raha ya KILELE.. Hawajiamini..Yani wapo "kileleni"lakini wanamachungu
Ushindi wa mbeleko.. Hadi kocha wa Kmc anamlalamikia refa hapa bila kuogopa kufungiwa na tffSimba ikishinda haipati ushindi mwembamba.
Pesa Mkuu..na wameipataHivi KMC kupeleka mechi Mwanza walikuwa wanawaza nini? Kwamba kuwakomoa Simba na Yanga au ndio waliamini watapata matokeo huko?
Here we Escort youKinondoni Municipal Council
Here we Go!
Atakua hampendi Okrah huyoSimanzi
Hivi ndio vyanzo ambavyo watu tunategemea kupata habari za uhakika za kimichezo
View attachment 2458899
Mola hawezi shughulikia dua za utopolo ana mambo mengi sana.Wale waliooomba dua zao Mola amewarudishia maombi yenu ya kitopolo
Nahisi hawajui kuwa viwanja vingi siku hizi atleast vinachezeka mwisho wamekula kichapo.Hivi KMC kupeleka mechi Mwanza walikuwa wanawaza nini? Kwamba kuwakomoa Simba na Yanga au ndio waliamini watapata matokeo huko?