FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

Namba waliobakiza Ruvushooting kwa simba ni namba 6, walishafungwa 3,4,5,_, 7 wanaendeleza walipoachia
 
Kuna mtu kashaanzisha siredi kule ila ushabiki huu unatufanya vichaa jamani halafu tukikutana live wala hatufananiii πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Namba waliobakiza Ruvushooting kwa simba ni namba 6, walishafungwa 3,4,5,_, 7 wanaendeleza walipoachia
Unazungumziaje suala la bahasha ndugu mchambua mchele toka Ngada fc? Maana hilo huwa hamkosei kwenye uchambuzi wenu Kwa mechi za wengine.

Guvu moya πŸ˜€
 
Hao mnawashutumu wanatembeza bahasha rekodi inaonesha waliwapiga ngao ya jamii vp nanyi mlitembezewa bahasha?
Mimi sio muumini wa kauli hiyo, ila hii ukikutana na mtu mwenye imani hiyo basi hoja yako ni nyepesi sana

Kwasababu si lazima bahasha ipitishwe kwa timu pinzani, hata Refa akipewa bahasha ana nafasi ya kuifanya timu ishinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…