FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

Inawezekana kila akiwa eneo hilo anahisi anafanyiwa pressing na The King himself Mayele
7818492D-B4E9-46F0-92C6-904E4D28ADC3.jpeg
 
Namba waliobakiza Ruvushooting kwa simba ni namba 6, walishafungwa 3,4,5,_, 7 wanaendeleza walipoachia
 
Hao mnawashutumu wanatembeza bahasha rekodi inaonesha waliwapiga ngao ya jamii vp nanyi mlitembezewa bahasha?
Mimi sio muumini wa kauli hiyo, ila hii ukikutana na mtu mwenye imani hiyo basi hoja yako ni nyepesi sana

Kwasababu si lazima bahasha ipitishwe kwa timu pinzani, hata Refa akipewa bahasha ana nafasi ya kuifanya timu ishinde
 
Back
Top Bottom