Yatazidi na lazima tulips ile hat trick yenuFriends of Ruvu Shooting ....
Magoli yatakayofungwa hayatazidi 3, No hat trick...
Mkuu baada ya Mechi uje hapa Mikasa Ubungo nina offer yako,kumbe bado watu kama ninyi mpo TanzaniaMimi sio muumini wa kauli hiyo, ila hii ukikutana na mtu mwenye imani hiyo basi hoja yako ni nyepesi sana
Kwasababu si lazima bahasha ipitishwe kwa timu pinzani, hata Refa akipewa bahasha ana nafasi ya kuifanya timu ishinde
Mkishinda huwa mnafurahi kweli! Ila ikishinda Yanga, mtaanzisha hata nyuzi 10 za fixed match!! Aisee mnahitaji maombi. Maana hamjielewi.Hii ndo Simba sasa
Mkuu baada ya Mechi uje hapa Mikasa Ubungo nina offer yako,kumbe bado watu kama ninyi mpo TanzaniaMimi sio muumini wa kauli hiyo, ila hii ukikutana na mtu mwenye imani hiyo basi hoja yako ni nyepesi sana
Kwasababu si lazima bahasha ipitishwe kwa timu pinzani, hata Refa akipewa bahasha ana nafasi ya kuifanya timu ishinde
Hapana ndio ukweli tuu kwamba mmepata kibonde mtu aloshafungwa mechi 7 hii itakuwa ya 8Wivu tu
Hakuna kama Mayele, tulieni...Yatazidi na lazima tulips ile hat trick yenu
Yupo kazini mkuuDah....! Mkwasa ameyakanyaga...Amedadindia mtumbwi Wa Vibwengo..!
Hatujampa kitu ila wanajichaganya hao marefaKwa Simba utasikia ni makosa ya refa, ila kiwa Yanga inakua bahasha!
Semeni wenyewe, mmempa refa bei gani?
Guvu moya 😀Mkishinda huwa mnafurahi kweli! Ila ikishinda Yanga, mtaanzisha hata nyuzi 10 za fixed match!! Aisee mnahitaji maombi. Maana hamjielewi.
Kuna watu hata mpira hawajawahi kucheza..Duuu yaani Kona Ina offside
Muache maneno maneno.......na mkubali ubora wa The CitizensHatujampa kitu ila wanajichaganya hao marefa
Droo
Vipi hao Ruvu ndiyo wangekuwa wanacheza na Yanga, halafu wakafungwa hizo goli? Muda huu mngekuwa ni kelele tu!Dah....! Mkwasa ameyakanyaga...Amedadindia mtumbwi Wa Vibwengo..!
Mbona Chama nyie mmelialia sana kukosekana mechi ,na hadi msemaji wenu jana alionekana mwenye furaha huku akimtaja taja kwenye press Chama,unadhani Mkude yeye anafurahi?Huyo mayele mnamtaja sana mpk mnawakera wenzake huko kikosini
Huu si ushabiki ni ufala, mtu mwenye akili timamu na anayejua mpira atakuwa anajua aina ya mpira anaocheza Yanga, Aina ya wachezaji wake, mfumo wake na hata kujituma na umakini wa wachezaji wenyewe, Kocha wao na uzoefu walionao hasa ukizingatia wamekaa pamoja kwa muda mrefu.
Yanga huwezi linganisha na timu yoyote ile hapa Tanzania, hata pale wanapocheza viwanja vigumu huwa wanajilinda kwa ufasaha mf. Kagera Sugar.
Ni ujinga kuamini kuwa timu zinapocheza na Yanga hazijitumi, Last season Simba alifungwa na Yanga kwenye Ngao ya Jamii na alipigiwa pasi nyingi mno, na sio kwamba Simba hawajui mpira hapana, ila Yanga wana uwezo mkubwa kuliko Simba.
Huu ushabiki wa Kijinga haufai.