FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

Mimi sio muumini wa kauli hiyo, ila hii ukikutana na mtu mwenye imani hiyo basi hoja yako ni nyepesi sana

Kwasababu si lazima bahasha ipitishwe kwa timu pinzani, hata Refa akipewa bahasha ana nafasi ya kuifanya timu ishinde
Mkuu baada ya Mechi uje hapa Mikasa Ubungo nina offer yako,kumbe bado watu kama ninyi mpo Tanzania
 
Ila Simba hesabu zao zimenichanganya kidogo

Mi nilitegemea wamalize first half wakiwa na bao 4, wao wametoka na goli 3 afu 7 waje wazimalizie kipindi cha pili
 
Mimi sio muumini wa kauli hiyo, ila hii ukikutana na mtu mwenye imani hiyo basi hoja yako ni nyepesi sana

Kwasababu si lazima bahasha ipitishwe kwa timu pinzani, hata Refa akipewa bahasha ana nafasi ya kuifanya timu ishinde
Mkuu baada ya Mechi uje hapa Mikasa Ubungo nina offer yako,kumbe bado watu kama ninyi mpo Tanzania
 
Dah....! Mkwasa ameyakanyaga...Amedadindia mtumbwi Wa Vibwengo..!
Vipi hao Ruvu ndiyo wangekuwa wanacheza na Yanga, halafu wakafungwa hizo goli? Muda huu mngekuwa ni kelele tu!

Mkwasa kauza mechi! Mkwasa kawaambia wachezaji wake wacheze chini ya kiwango!

Aisee mashabiki wa simba ni pasua kichwa! Muwe mnajifunza kwa mashabiki wenzenu wa Yanga! Hakuna hata mmoja aliyekuja na shutuma za kidwanzi! Ila siyo nyinyi.
 
Huyo mayele mnamtaja sana mpk mnawakera wenzake huko kikosini
Mbona Chama nyie mmelialia sana kukosekana mechi ,na hadi msemaji wenu jana alionekana mwenye furaha huku akimtaja taja kwenye press Chama,unadhani Mkude yeye anafurahi?

Guvu moya 😀
 
Huu si ushabiki ni ufala, mtu mwenye akili timamu na anayejua mpira atakuwa anajua aina ya mpira anaocheza Yanga, Aina ya wachezaji wake, mfumo wake na hata kujituma na umakini wa wachezaji wenyewe, Kocha wao na uzoefu walionao hasa ukizingatia wamekaa pamoja kwa muda mrefu.

Yanga huwezi linganisha na timu yoyote ile hapa Tanzania, hata pale wanapocheza viwanja vigumu huwa wanajilinda kwa ufasaha mf. Kagera Sugar.

Ni ujinga kuamini kuwa timu zinapocheza na Yanga hazijitumi, Last season Simba alifungwa na Yanga kwenye Ngao ya Jamii na alipigiwa pasi nyingi mno, na sio kwamba Simba hawajui mpira hapana, ila Yanga wana uwezo mkubwa kuliko Simba.

Huu ushabiki wa Kijinga haufai.

Huwa unaangalia mpira au unaskizaga tu?
 
Back
Top Bottom