Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Guvu moya 😀Vipi hao Ruvu ndiyo wangekuwa wanacheza na Yanga, halafu wakafungwa hizo goli? Muda huu mngekuwa ni kelele tu!
Mkwasa kauza mechi! Mkwasa kawaambia wachezaji wake wacheze chini ya kiwango!
Aisee mashabiki wa simba ni pasua kichwa! Muwe mnajifunza kwa mashabiki wenzenu wa Yanga! Hakuna hata mmoja aliyekuja na shutuma za kidwanzi! Ila siyo nyinyi.
Hakuna shabiki wa Yanga anayeweza kuumiza kichwa kwenye ishu isiyo muathiri kwa chochote. Mnaweweseka tu wenyewe na kujishtukia.Maumivu Ya Kichwa huanza Pole pole....!
Utopolo tulieni, mnachachatika mno.!
Huyu si ndiyo tulisema mzee?HIVI MNA UHAKIKA HAALAND SIYO BOCCO[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Guvu moya 😀Maumivu Ya Kichwa huanza Pole pole....!
Utopolo tulieni, mnachachatika mno.!
Yes kwa second touchDuuu yaani Kona Ina offside
Ukweli wanaujua sana,ukikaa nao nje ya keyboard wanasema ukweliHakuna shabiki wa Yanga anayeweza kuumiza kichwa kwenye ishu isiyo muathiri kwa chochote. Mnaweweseka tu wenyewe na kujishtukia.
Mechi ijayo mnaenda ugenini! Kitakachofuata baada ya hapo ni malalamiko tu. Na kama mimi ni muongo, nitarudi kuwakumbusha.Umiliki wa mpira ni 78% kwa Simba. Totally Outclassed
Basi wewe ujengewe mnara pale BunjuKwangu kama kuna sehemu niliwahi kufanya hivyo najiuzulu..! ID yangu ni Vita sasa nawezaje kufanya hivyo..!
. Mnyama Simba ni Nguvu Moja [emoji881]
Hii wanasimba wenzangu sio fixed match kweli?
Yanga kanyaga twende kimbiza mwizi kelele atapiga mwenyewe
Ila wana Simba mnahangaika na Yanga kuliko wanaYanga wenyewe
Acha uchawiMechi ijayo mnaenda ugenini! Kitakachofuata baada ya hapo ni malalamiko tu. Na kama mimi ni muongo, nitarudi kuwakumbusha.
Mkuu mbona comment yangu tu ilionyesha niko upande gani! Ni raha ya lugha unasema Y kumbe unamaanisha Z.Sawa mwana Simba, ila ngoja niweke hapa post zako za nyuma kuhakiki kama kweli ni mwana Simba