FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

Vipi hao Ruvu ndiyo wangekuwa wanacheza na Yanga, halafu wakafungwa hizo goli? Muda huu mngekuwa ni kelele tu!

Mkwasa kauza mechi! Mkwasa kawaambia wachezaji wake wacheze chini ya kiwango!

Aisee mashabiki wa simba ni pasua kichwa! Muwe mnajifunza kwa mashabiki wenzenu wa Yanga! Hakuna hata mmoja aliyekuja na shutuma za kidwanzi! Ila siyo nyinyi.
Guvu moya 😀


Saizi wangekuwa wameanzisha nyuzi kibao humu
 
Kuna Football na Netball... hii leo ni Netball, ila Ruvu mtafika mbinguni mmechoka sana.
 
Kwangu kama kuna sehemu niliwahi kufanya hivyo najiuzulu..! ID yangu ni Vita sasa nawezaje kufanya hivyo..!

. Mnyama Simba ni Nguvu Moja [emoji881]
Basi wewe ujengewe mnara pale Bunju


Guvu moya 😀
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Mkapa | Ruvu Shooting 0-3 Simba SC
 
Ruvu Shooting wanapata Kona ambayo haikuzaa bao
 
Sawa mwana Simba, ila ngoja niweke hapa post zako za nyuma kuhakiki kama kweli ni mwana Simba
Mkuu mbona comment yangu tu ilionyesha niko upande gani! Ni raha ya lugha unasema Y kumbe unamaanisha Z.
Nilikuwa nawakumbusha juzi mlivyosema.
 
Ametoka Henock na ameingia Mohamed Ouattara, upande wa Simba
 
Back
Top Bottom