NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Yanga na simba kutokujielewa ni asili yao wote LABDA kama umeamua kujisahaulisha.Mkishinda huwa mnafurahi kweli! Ila ikishinda Yanga, mtaanzisha hata nyuzi 10 za fixed match!! Aisee mnahitaji maombi. Maana hamjielewi.
Uchawi gani tena! Simba ni bora ikiwa kwa Mkapa tu. Ikienda kucheza viwanja vya Mikoani, hugeuka na kuwa nyau.
TMechi ijayo mnaenda ugenini! Kitakachofuata baada ya hapo ni malalamiko tu. Na kama mimi ni muongo, nitarudi kuwakumbusha.
TMechi ijayo mnaenda ugenini! Kitakachofuata baada ya hapo ni malalamiko tu. Na kama mimi ni muongo, nitarudi kuwakumbusha.
Save this.Mechi ijayo mnaenda ugenini! Kitakachofuata baada ya hapo ni malalamiko tu. Na kama mimi ni muongo, nitarudi kuwakumbusha.
Hata kwa Mkapa napo kuna siku inatokea haichezi vizuriUchawi gani tena! Simba ni bora ikiwa kwa Mkapa tu. Ikienda kucheza viwanja vya Mikoani, hugeuka na kuwa nyau.