FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

Mkishinda huwa mnafurahi kweli! Ila ikishinda Yanga, mtaanzisha hata nyuzi 10 za fixed match!! Aisee mnahitaji maombi. Maana hamjielewi.
Yanga na simba kutokujielewa ni asili yao wote LABDA kama umeamua kujisahaulisha.
 
Shambulizi kali kuelekea Ruvu, lakini Simba wanakosa nafasi ya kufunga
 
Ouattara anapiga shutii lakini linatoka sentimita chache ya lango

Ruvu Shooting 0-3 Simba SC
 
Uchawi gani tena! Simba ni bora ikiwa kwa Mkapa tu. Ikienda kucheza viwanja vya Mikoani, hugeuka na kuwa nyau.
Hata kwa Mkapa napo kuna siku inatokea haichezi vizuri

Wenzetu mlipigiwa na Kagera 60% kwa 40% lakini we umejitoa kwenye kundi la kutocheza vizuri mikoani
 
66' Okrah anapiga shutii lakini mpira unatoka nje na kuwa goal kick
 
Bocco Goooooooooooooaaal gooal

John Bocco anaweka kambani bao la tatu Hat-trick | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC
 
Back
Top Bottom